M-KOPA III Solar Home System
MKOPAIII_Sep14_026-e-01

M-KOPA III Solar Home System

1000 /=

Kila siku + 59,999 /= kianzio

[/tabs]

  • Taa mbili za LED na switch zenye miangaza tofauti tofauti
  • Tochi moja ya LED
  • USB Chaja ya simu yenye pini tano za kuchajia
  • Portable solar radio
  • Panel Madhubulti ya 8 W
  • Warranty ya Miaka 2
  • Malipo ya Mwaka mzima

M-KOPA III Solar Home System

Rahisi

Wateja wananunua M-kopa III Home Solar system kwa charama na Mpangilio nafuu wa malipo kwa kulipa kianzio ikifuatiwa na malipo ya kila siku kwa mwaka mzima , baada ya kumaliza malipo mteja upata na umiliki kamili wa bidhaa yetu.

Upatikanaji

M-KOPA itapatikana nchi nzima kupitia mawakala wetu watakaokuwepo popote Tanzania , kupata mwakilishi /Wakala wa M-kopa popote pale tafadhali piga 0764701100 au click here
Timu ya M-kopa ya huduma kwa wateja ipo kwaajili ya kutoa msaada kwa wateja , mawakala na wauzaji wa rejareja.

  • Kwa maelezo Zaidi kuhusu vigezo na Masharti bofya hapa click here.

Uboreshaji wa bidhaa

Bidhaa zote za M-Kopa zitatumia nembo na hati miliki ya Tekinologia ya M-kopa , mfumo wetu wa Mkopanet umetengenezwa na kuwezeshwa kufanya kazi na bidhaa zote za M-kopa kwa zile mpya na zile zilizopo Sokoni.